a
Yer 27:6
;
Ezr 7:12
;
Dan 2:37
;
Nah 2:3-4
;
Eze 23:24
Ezekiel 26:7
7
a
“Kwa maana hili ndilo
Bwana
Mwenyezi asemalo: Kutoka kaskazini nitamleta dhidi ya Tiro Mfalme Nebukadneza wa Babeli, mfalme wa wafalme, akiwa na farasi na magari ya vita, wapanda farasi na jeshi kubwa.
Copyright information for
SwhKC